Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Binamu sasa hivi amekuwa mkweo ujueNa usisahau kwamba pesa lzm ipitie kwako.
Nakusalimia mimi.
Ni utani banaHahahaha
Nitakua mnyonge ,Rafiki
Nikiwa tungi nitakua nakuja kusalimia
Sim ya mezani na sm ya mkononi zote sawa pia.?...ulikuwa hujui!! Yaani akija atakwambia ni mdogo wake lakini kila siku nasema ngao ya maji na ngao ya kidonge zote sawa
Abeeh@Shunie![]()
Cjui kama ataweza hata kumpa maelekezo mgeniMjomba ana maumivu lkn
HahahahaEbu nijibu kwanza we mzee ulikuwa serious
Kaichezea mwenyewe tena huku akishangilia![]()
![]()
![]()
mweee binamu hana bahati
Hahhahah mm naogopa jamani mjomba wao watu alikuwa anajua ananichukua jumla jamaniiiInawezekana hajui utani
AfadhariHawezi ameshasema anampenda kwa kila hali
Mfyuuuuu zenuCjui jiwe![]()
![]()
![]()
Shikamoo binamu...kweli kabisa, hata mimi sijaelewa kabisa unamaanisha nini?
NdiwooooUkaomba na no zake![]()
![]()
![]()
![]()
We unajua kbs nilivyokua mvumilivu lkn hujataka kuonyesha ushirikiano.matokeo yake waniitia gari za jeshi mimi....mimi nimeenda na mmenilipia hadi ingilishikozi lakini ndugu yenu nimemwaga mchana kweupe, yaani marybaby hakusubiri japo animwage gizani asione ninavyotoa machozi.


...jamani, hebu mniache nipumue, nimeachika mwenzenu na sasa naangalia nitatoka vipi, mapenzi yote nimehamishia kwa mama yenu
msalimie mama binamuMjomba wetu wa dhahabu kbsHahahaha wala si haribu binti
Hivi hili la Mjomba bado linatumika?
Wakati Anko katenguliwa kiuno na mbavu
KabisaHahaha tumstiri ndg yetu