Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
We unajua kbs nilivyokua mvumilivu lkn hujataka kuonyesha ushirikiano.matokeo yake waniitia gari za jeshi mimi[emoji58][emoji58]
...zile gari ni nzuri mno, benzi kabisa yaani ungefurahia mno
We unajua kbs nilivyokua mvumilivu lkn hujataka kuonyesha ushirikiano.matokeo yake waniitia gari za jeshi mimi[emoji58][emoji58]
Shangazi nipo leo mpk nimalize zote[emoji38][emoji38]Wewe aga unaenda kulala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msalimie mama binamu
We ndio uliharibu toka mwanzo.ilobaki ss uniamkie tuu
Ananiitia nn binamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm jana najua jiwe kaingia nae makapuku nikaomba na no kumbe wananisema kwa code
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiweeeWananisema mm ndio jiwe eti baba wawili
Hahaha haiwezekan binamu akose hv hv,,tumepambana sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Binamu yenu anatoa offer anakwambia bill kwako apambane na ubahili wake
Sikweli,,binamu hana list hyooAna list ya abiria zaidi ya 49
Hahahaha unataka nikatae shangaziUnakubaliana kwahiyo mm kuwa jiwe baba wawili
Hahahahaha basi sawaHahhahahhaha
Moneytalk hayupo hivyo
Kwani mchumba wapo wa aina ngap shangaz??Hahahaha vijana mnanishinda humu mchumba wa kukulana au
Binamu habar ya uzima...jamani, hebu mniache nipumue, nimeachika mwenzenu na sasa naangalia nitatoka vipi, mapenzi yote nimehamishia kwa mama yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fala sn ningendako daah. Wallah Mungu anakuona ati..
Huyo ni binamu yangu mi nilipotea sababu mzigo wangu wa korosho tani 10 nilizoagiza kwa dola 1999 umezuiliwa
Kumbe ndio wamemponza binamu yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wavaa shanga sio watu wazuri