Mjomba wetu wa dhahabu kbs
Kamwagwa kwani[emoji134] [emoji134] [emoji134]Sasa hivi yupo single huoni alitaka kurudi kwa tetra hawezi niangusha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaichezea mwenyewe tena huku akishangilia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ni kweli niligonganisha magari ndo maana nikafukuzwa utrafiki polisi, nilikuwa napataga sana hela yaani kila jumamosi na jumapili nilikuwa nashinda bar nakata mvinyo kama samaki baharini nagonganisha meli na boti za Azam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yupo binamu...wewe ndo ndugu yangu, nitafanyaje sasa, naogopa kupazwa kwa kukataa maneno ya anko wangu.
Jiwe ambaye bahati mbaya ni aunt yangu akija mniambie
Heshima yko binamu...ulikuwa hujui!! Yaani akija atakwambia ni mdogo wake lakini kila siku nasema ngao ya maji na ngao ya kidonge zote sawa
Mara paaaaapuuuuuuuuu mzee wa chura ndo mmilikii halaliiii wa jiweee...
Utatuenyeshaaa humu ndanii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi binamu anajuaKhaaaaa
Jiwe mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....mimi nimeenda na mmenilipia hadi ingilishikozi lakini ndugu yenu nimemwaga mchana kweupe, yaani marybaby hakusubiri japo animwage gizani asione ninavyotoa machozi.
Atajikaza kiumeCjui kama ataweza hata kumpa maelekezo mgeni
Na shangazi mwenyewe
EeeenhHawezi na uzee ule[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]Mvua ya Mars eti.?
HahahhahhaWe ndio uliharibu toka mwanzo.ilobaki ss uniamkie tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha wala si haribu binti
Hivi hili la Mjomba bado linatumika?
Wakati Anko katenguliwa kiuno na mbavu
Hahhahha wamemwaganaKamwagwa kwani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mkwe wangu na nimemwambia aniamkie[emoji38][emoji38]Binamu sasa hivi amekuwa mkweo ujue
Aligonganisha na kaachwa mtoto anakula matamu tamu kwa lyon
Yaani nimechoka mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi binamu anajua