Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Karibu sana uulize na maswali yakoHumu mm naingia leo kwa makapuku, na mm pia kapuku tuu, ila nina maswali kama buku...
Karibu sana uulize na maswali yakoHumu mm naingia leo kwa makapuku, na mm pia kapuku tuu, ila nina maswali kama buku...
Eti jamani kumbe mm ndio jiweKumbe jiwe ni shangaziii![]()
Amebaki na abj wake anayemvumilia kwa kila kituUbahili wa binamu yangu,,wakat pesa ya korosho anayo
Ebu ongea ueleweke umeongeaNaomba pia msaada jinsi yakujiunga na pini inayohusu mambo ya Dini, mm ni mkristo.
Hahaha sio type yake yule,,,acha asubr chura yakeukatili huo
Mlijitahidi sn nami pia sikua nyuma,,tatizo X yule hela jama hela hata nauli alishindwa akaniambia niombe list ktk magari ya wale jamaa wa kubeba koroshowNmeelewa sasa,,,ankolii kamfanyia kitu mbaya sana binamu,,,mbwembwe zote zile tulizofanya na dada angu Tumosa ...binamu katoswa
Hadi tumempeleka inglishi kozi![]()
Jamani jamani hahahangoja tumsubir jiwe amlete msebule
Mnanichanganya mjue yaani naona chenga tuu
Shangazi!!Eti jamani kumbe mm ndio jiwe
Woyoooooooo baba wawili huyoHahaha nakuona dada,,,upo mstar wa mbele kupata wifi
Mtapigwa nyie leo
Hahaha ngoja aje??sifa yake nyingine ni ip dada ake
Shangazi waswahili husema "ukubwa jalala "Eti jamani kumbe mm ndio jiwe
Baba wawili na ww unakubaliana na hayoNilikuwa sijui,,,nmeona leo jiwe jiwe jiwe,,heh kumbe shangazi,,,hii a.k.a inamfaa sana