dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
sawaTaarifa kwa umma:Siku ya leo tarehe 29/11/2018 jiwe amefanya tenguzi moja ambapo babu mtu chake ametenguliwa nafasi aliyokuwa anashikilia na pia jiwe amefanya teuzi moja ambapo ningendako ameula!
Hapa kazi tu!

Utashangaaa anduje na helikopita yake bunju anaopoa zigoMwenzako akinyolewa, za kwako tia maji!![]()
swafi kabisaHabari za uzima wakuu
walivyosema ujionavyo ndivyo ulivyo kweli nimekubalijina la jiwe linasadifu kila kitu
Kama nilivyogharamia ya kwako nikakupeleka hadi china rafiki!![]()

ili iweje? unapenda kubishana?
anaongeza chura?...yule ni mganga wa jadi, anasaidia kutegua tego, kutoa limbwata, kufukuza wachawi na kuroga unaowachukia hasa bosi wako na pia anarejesha sehemu nyeti kuwa mpya kabisa na kurejesha mapenzi lakini dawa ninayoifuataga kwake ni ile kama nikikutongoza ukanikataa basi ukilala utakuwa unaniota mimi kila wakati
anakuza bamia?...yule ni mganga wa jadi, anasaidia kutegua tego, kutoa limbwata, kufukuza wachawi na kuroga unaowachukia hasa bosi wako na pia anarejesha sehemu nyeti kuwa mpya kabisa na kurejesha mapenzi lakini dawa ninayoifuataga kwake ni ile kama nikikutongoza ukanikataa basi ukilala utakuwa unaniota mimi kila wakati
niazime avatar yakoSio binamu ninayekujua
Hahahaha futuhi ni nini tena MkuuPoleee sana ...we malizia futuhiu
Hahahahatunatuma!
Mie mgeni hapaMsaada mkuu nataka kujiunga na pin ya maswala ya dini, mm ni mkristo
Hahahah nimeula walah, uteuzi huu wa jiwe wa sasa upo sawa sawa,,,nasubiri kuapishwa tu hapaTaarifa kwa umma:Siku ya leo tarehe 29/11/2018 jiwe amefanya tenguzi moja ambapo babu mtu chake ametenguliwa nafasi aliyokuwa anashikilia na pia jiwe amefanya teuzi moja ambapo ningendako ameula!
Hapa kazi tu!
