Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahaha, dah

Maramamae walahi ,acha tu niendelee kujilewea ,si kwa style hii

Yaani mpk najionea huruma, huu Uzi utanishinda huko mbele ,hapa nikujipa likizo tu ,sijui mikosi gani ninayo

Najua walimwengu na wafitini,viroho vya korosho, vimepitisha maneno yao

Haya bana ,niwaage wajomba zangu ,bye bye

Kwa mangi Shayo moja hii,kutoa uchungu
Hahahahha
Gundu sio la nchi hii
 
Mlijitahidi sn nami pia sikua nyuma,,tatizo X yule hela jama hela hata nauli alishindwa akaniambia niombe list ktk magari ya wale jamaa wa kubeba koroshow
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa binamu yangu pesa zote zile za koroshow kapeleka wapi??kama hata tuishien tumemlipia pale kwa ras simba,,
 
Nmeelewa sasa,,,ankolii kamfanyia kitu mbaya sana binamu,,,mbwembwe zote zile tulizofanya na dada angu Tumosa ...binamu katoswa

Hadi tumempeleka inglishi kozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haiwezekani nguvu yetu iende bure tuendelee kumpigania binamu
 
Back
Top Bottom