Makapuku Forum

Makapuku Forum

...jamani, hebu mniache nipumue, nimeachika mwenzenu na sasa naangalia nitatoka vipi, mapenzi yote nimehamishia kwa mama yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha, dah

Maramamae walahi ,acha tu niendelee kujilewea ,si kwa style hii

Yaani mpk najionea huruma, huu Uzi utanishinda huko mbele ,hapa nikujipa likizo tu ,sijui mikosi gani ninayo

Najua walimwengu na wafitini,viroho vya korosho, vimepitisha maneno yao

Haya bana ,niwaage wajomba zangu ,bye bye

Kwa mangi Shayo moja hii,kutoa uchungu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mbona unaaga mashindano kifwala hvo,we mjomba vp
 
Mm jana najua jiwe kaingia nae makapuku nikaomba na no kumbe wananisema kwa code
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom