Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 464,001
Kabisa my swi hatuachani kizembeShemela mimi na Tumosa ni maji na udongo
HahahaPole sn lala ukiamka kesho utakua fresh kbs
...acha tu ndugu yangu, nimefanyiwa fitina na watu wangu wa karibu kabisa, wale ninaowategemea ndo wamekuwa maadui zangu, kweli mchawi ndugu, sasa nipo tu mpweke na mama yenu mkubwa

Makubwa haya we mzee ulipotolea wapii huyo kwa avatar ndio mnafananaNaona umevaa jezi niliyokuletea niliporudi Bunju kutoka London
Hutoi utambulisho unategemea nn![]()
![]()
![]()
![]()
kwa umbea sikuwezi
![]()
![]()
Haiwezani kabisa
Niko poa shemeji,za pande hizo
Hahahhaha mbona ww uliachika kwa binamu
DaahWw si ndo jiwe mwenyewe![]()
![]()
![]()
Sina watt mieHahahhaha mbona ww uliachika kwa binamu
Sema kweliTena wameachana kweupe mbele yangu
HahhahahhhaSafiiiiii.
Tudumu milele (mjomba unanipa machungu)
Bomba sn,Niko poa shemeji,za pande hizo
....alinifukia na sasa ananichimba, mwanzoni nilipoona naomba hela nikapewa ya twisheni niwe nakuambia maneno matamu matamu ya kiinglishi, machale yakaanza kunicheza. Inakuwaje mtu anakupa hela huku anatabasamu






Naanzaje kumdanganya mzazi mwenzanguShemela ebu kuwa mkweli kumuacha binti wa watu huku unamdanganya