shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Teh teh teh.. mzee muba kala hasara
sent using my nokia ya tochi

Teh teh teh.. mzee muba kala hasara
sent using my nokia ya tochi

Ale dusheleleee...waegooMbupu...
Husna unakumbuka ile nyimbo ya kiba dushelele..?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kwema kabisa clkeyJamani kwema hapa
Aisee, ulikua wapi kamandaKwema kabisa mkuu
Pole sana na kipigoMkulu kumbe na wewe ni mr uvumilivu....njia pekee ya Arsenal kuwa salama Msimu huu basi ni kuomba Mustaph na Koscielny warudi haraka katika safu ya ulinzi..... Kwa kuendelea kuwasimamisha Nacho, Holding na Kolasinac kama mhimili wa eneo la ulinzi kwenye michezo ya ligi kuu ni kuendelea kujicementing katika nafasi ya sita.
Ebwanaaadaaaaaaaah ....Alexander Lacazete shikamoo mzee, kile kichwa ni record nyingine kabla ya lile goli..... Umetuletea Zawadi katika EPL Msimu huu. Unaweza kucheza nje ya box, unamudu vyema ndani ya box.... Kizungu wanasema "what a player"
Craig Shakespeare ...alikuwa ana mjaribu mzee Wenger kama akili inafanya kazi. Kuna wakati uwanja uliinamia golini kwa arsenal, hapo kila mtu aliwahurumia na kuwa cheka Arsenal ila kuna wakati wa uwanja uliinamia golini kwa Leicester city na mbaya zaidi walishindwa kujua chakufanya katika mipira iliyokuwa inakwenda katika box la Leicester city.
...anyway mr wenger ndo kawaida yake kuongoza kabla ya ligi na pindi ligi inapoonza mengine ya baadae ni majaliwa ...
Mm droo inanitosha
AsanteInaendeleaaaa. ....
Kiazi kitamuHicho ni kiazi jamani
Asante mpendwa wa ObeEND.![]()
Mama JJ za jioniBaba watoto![]()
![]()
![]()
![]()
Nawe piaKuna pipo ilikuja kuzingua eti sijui uzi umepitwa replies so what?
Kitendo chenu cha kumuignore kimenofurahisha maana mmemnyesha ukomavu !!
Tuna kazi za kufanya bhana ila siyo kushindania vitu vya kipuuzi
Muwe na Usiku Mwema
.........
Sign yako duhFresh tu ndugu yangu, namshukuru mwenyez mungu..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hapana Shunie sivyo nilivyo nilikuwa nawaongelea watu wengine wenye mapenzi ya aina hiyo mimi mtu akinizingua natemana nae.Kuvumiliaje koncho zaidi ya ulivyomvumilia jamaan koncho acha nikupe pole najua upo kwenye mahusiano hayo ila acha maisha mengine yaendelee jamaan haujazaliwa naye huyo mmekutana ukubwani tu mapenzi kweli yanaumiza lakini Mungu kaumba kusahau utamsahau tu utampata tu atakayekupenda wewe kama unavyompenda mkuu
Mpuuz yule.. akala kona mwenyewe..Bora mmempotezea
Mngejibishana nae mngeonekana hamna kazi za kufanya
Bora huo muda hata kuutumia kusafishia gheto
![]()
![]()
![]()
....
Sijui klopp karogwa cz mwishoni mwa msimu uliopita alikir km liver inahtaj kipa mwingineLiver wana kipa Mjerumani wanamkalisha tu benchi
Simon Mignolet kila msimu anaigharimu timu kwa kufanya makosa ya kiboya hata leo kabla ya kufungwa goli la 3 kiboya alishafanya kosa la kuudodosha mpira na kidogo tu aharibu
Nitashangaa mechi ijayo akipangwa
.....
Malizia na Nyangema..![]()
![]()
sawa kaka Bitoz
Kolasinic kweli jamaa yuko vizuri kuanzia mechi na chelsea ...kiungwana futen ile kauli ya kwamba mlimchukua bureeeee
