Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nzuri mkuuMiye niko poa za majukumu
Bas sawa ni jambo jema hiloNzuri mkuu
Mke mweee mr.x vpKweli kabisa
We nawe chaunababe nawe.. namsingizia wapi wakat umeona kabisa ananiombea mie izrael anifanyie kazi, wacha ushanshuda..Unamsingizia banaa
nmegundua wengi humu hawanipendi, mtu anafurahia mie nivute kweli, nawe unashadadia, naleta unaa mie nkufee..kweli..
Kwema tu bibie.. wajionaje na hali?Jamani kwema hapa
Timu ilikuwa na upungufu mkubwa kwenyesafu ya ulinzi.. holding bado, monreal ile si nafas yake, kwa soka lile km mustaf akirud na koncienly itakuwa safi sana, kolasinic kaongeza kitu fulani kule kwenye ukuta, kla ingependeza kama akiongeza midfielder moja elneny bado kidogo, labda arud cazorla au jack wilshere.. welbeck homa ya vipindi kama waingereza wengine.. lacazzete anafaa anashiriki kwenye mchezo mzima, anakabia juu, anaparticipate kwenye kucheza na kushambulia pia.. wenger anakila sababu ya kumuongeza mkataba ox chamberlain..Mkulu kumbe na wewe ni mr uvumilivu....njia pekee ya Arsenal kuwa salama Msimu huu basi ni kuomba Mustaph na Koscielny warudi haraka katika safu ya ulinzi..... Kwa kuendelea kuwasimamisha Nacho, Holding na Kolasinac kama mhimili wa eneo la ulinzi kwenye michezo ya ligi kuu ni kuendelea kujicementing katika nafasi ya sita.
Ebwanaaadaaaaaaaah ....Alexander Lacazete shikamoo mzee, kile kichwa ni record nyingine kabla ya lile goli..... Umetuletea Zawadi katika EPL Msimu huu. Unaweza kucheza nje ya box, unamudu vyema ndani ya box.... Kizungu wanasema "what a player"
Craig Shakespeare ...alikuwa ana mjaribu mzee Wenger kama akili inafanya kazi. Kuna wakati uwanja uliinamia golini kwa arsenal, hapo kila mtu aliwahurumia na kuwa cheka Arsenal ila kuna wakati wa uwanja uliinamia golini kwa Leicester city na mbaya zaidi walishindwa kujua chakufanya katika mipira iliyokuwa inakwenda katika box la Leicester city.
...anyway mr wenger ndo kawaida yake kuongoza kabla ya ligi na pindi ligi inapoonza mengine ya baadae ni majaliwa ...
Mm droo inanitosha
Fresh tu ndugu yangu, namshukuru mwenyez mungu..Weekend inaendaje kamanda