Hicho ni kiazi jamaniTeh teh ngoja aje atueleze
Bangi +kuber+ gongo=.....Hahaa.... bangi hizi..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Unalalaga chaliiKinatuhusu wakina fulan..
Ila uchaw mie silali hvyoo..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hahaa.. hiz disappointed noise zimejaa africa..
Tycoon MAKAVELI Jr.

Kuna wabishi hao, furaha yao kwenda kinyume na sheria wako radhi hata waingie gharama ili wavunje sheria.. watu wataweka bullet proof gari zao..
Tycoon MAKAVELI Jr.

Haya shemelaShemela naijua hiyo kitu ujue si wengine huwa tunaingia mazima yaan tunaingia na miguu yote miwili acha kabisa hiko kitu nina uzoefu nacho ujue shemela
Asubuhi na usiku kama hivi kuna baridi sana, harafu inapenya balaaEbana eeh vipi baridi huko?
Wasalimie Dochi na Sinza
Hivi barabara ya mjini from IJA washapiga lami upya na kuitanua?
Au basi/daladala zinaishia bado bado pale shuleni/uwanjani Shambalai?
Usishau kutuletea matunda damu sado zima buku mbili haivuki km sijakosea
......
Kutokana na tatizo la kiufundi lililojitokeza siku ya leo hakutakuwa na leo katika historia
Mniwie radhi

Jirani za jioniMorng jirani
sent using my nokia ya tochi
Ohooo....Natamani mimi ndio ningekuwa huyo padri...
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kwema mkuu LeeWakuu kwema .....
Kumbe mpaka majuu uchawi upo!Kuna nchi, mamlaka ya anga ilitoa tangazo kuwa wachaw wanaruka sana nait wanasumbua sijui vyombo vyao sijui nini.. halaf si nchi ya africa.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kwema kabisa mkuuKwema humu wana makapuku