Makapuku Forum

Makapuku Forum

46cc12270e37e16b4c1fe2e4ab7555e0.jpg
Harmorapa kaweka kamban na assist 1

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Mpuuz yule.. akala kona mwenyewe..

Kwanza wee godolo lako umelitoa juani, na leo ukilikojolea kesho utalala chin..[emoji23] [emoji23]

Tycoon MAKAVELI Jr.
Uzi uendelee kuwa hivihivi
Yaani tukiwa free tunajimwaga kupiga stori na kupeana mawili matatu
Tukibanwa tunapotea kwa staili ya Wavietnam

Ila tuyaache mdau
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
 
Back
Top Bottom