dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Bas sawa kamandaNi fresh, ni poa..
Tycoon MAKAVELI Jr.

Bas sawa kamandaNi fresh, ni poa..
Tycoon MAKAVELI Jr.

Teh teh teh.. mie jana nimeenda kwenye page yao, nmewambia schalke 04 wananidai buku jero kwa soka la yule mwamba.Kolasinic kweli jamaa yuko vizuri kuanzia mechi na chelsea ...kiungwana futen ile kauli ya kwamba mlimchukua bureeeee
View attachment 563933
View attachment 563940 View attachment 563933
Leo Makapuku hatimaye inavuliwa jezi ya ukampteni!
Leo inaovatekiwa kwa repplies nyingi ever kwa thread humu jf.
Jembekillo unaona mambo yako haya, watu wako bize na uzi wako ma uchumi unashika sababu watu hawashiriki uchumini ipasavyo.

Endelea tu kufukua utakuja kuona mpaka ninaokwambia..
Tycoon MAKAVELI Jr.

Nimeamka poa maka sijui wewe hukoMorng bibie shunie, umeamkaje mamii
sent using my nokia ya tochi
Ewaaaaaa kunywa kinywaji chochote maka bill ije kwangu100%
Huko kwingine kujilegeza, eti mtu ukipenda ndio kapenda yeye nani wa kpenda tu hata km anakukera mama yako mzaz au.. km tungekuwa tumezaliwa pamoja labda ningefkiria sababu tumeanza kuwa pa1 tumbon, lakin haya ya kukutana dunian tu ndio jnipe presa tena hii dunia yenye watu bilion 7 na upuuz, akwende tuu, sikuanza na yeye n pia hawez kuwa wa mwisho..
Kwa wanyonge hali kama hii ni kujipa maneno ya kishujaa, unajichanganya na watu.. ila ukiwa pekee yako pekee yamo unaweza kufa km hujazoea, ndio hawa unakuta kaishaachana na mtu bado anamfata fata, hyo inaonesha unamzikia bado n yeye ndio anapata nafas ya kukuumiza zaid
sent using my nokia ya tochi
Kuvumiliaje koncho zaidi ya ulivyomvumilia jamaan koncho acha nikupe pole najua upo kwenye mahusiano hayo ila acha maisha mengine yaendelee jamaan haujazaliwa naye huyo mmekutana ukubwani tu mapenzi kweli yanaumiza lakini Mungu kaumba kusahau utamsahau tu utampata tu atakayekupenda wewe kama unavyompenda mkuuMara nyingine mtu anaamua kuendelea kuishi nae ili aone kama atabadilika maana yake anamvumilia.
Naendelea vizuri jamaan hofu kwako tuShunie mama angu waendeleaje
Kwemaa nakuona kwa avatar dingimtotoKwema humu wana makapuku
Mie namshukuru mungu niliamka poa piaNimeamka poa maka sijui wewe huko
Teh teh teh.. shukran bibie..Ewaaaaaa kunywa kinywaji chochote maka bill ije kwangu