Makapuku Forum

Makapuku Forum

DID YOU KNOW?!
814cca55c3c0d2d557e3e6a87bfc9c63.jpg
Maisha hayana formula, ishi kwa principle zako unazoziamin, usijaribu kuiga kwa mwingine sababu yeye anaishi maisha yake na si yako.. ukiiga umefeli, maisha ni mtihani sasa ukicopy na kupaste utaumia tu cz yawezekana maswal yaliyo kwenye pepa yako c yaliyokuwepo kwenye pepa yake..

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Timu ilikuwa na upungufu mkubwa kwenyesafu ya ulinzi.. holding bado, monreal ile si nafas yake, kwa soka lile km mustaf akirud na koncienly itakuwa safi sana, kolasinic kaongeza kitu fulani kule kwenye ukuta, kla ingependeza kama akiongeza midfielder moja elneny bado kidogo, labda arud cazorla au jack wilshere.. welbeck homa ya vipindi kama waingereza wengine.. lacazzete anafaa anashiriki kwenye mchezo mzima, anakabia juu, anaparticipate kwenye kucheza na kushambulia pia.. wenger anakila sababu ya kumuongeza mkataba ox chamberlain..

Tycoon MAKAVELI Jr.
Kolasinic kweli jamaa yuko vizuri kuanzia mechi na chelsea ...kiungwana futen ile kauli ya kwamba mlimchukua bureeeee
 
image.png


image.png
image.png


Leo Makapuku hatimaye inavuliwa jezi ya ukampteni!
Leo inaovatekiwa kwa repplies nyingi ever kwa thread humu jf.
Jembekillo unaona mambo yako haya, watu wako bize na uzi wako ma uchumi unashika sababu watu hawashiriki uchumini ipasavyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom