mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Hebu Muulize husnaBabu nini hiyo?
Hebu Muulize husnaBabu nini hiyo?
Teh teh ngoja aje atuelezeHebu Muulize husna
Halafu wewe mimi sio babu yako eeh.... wewe unashindana na mjukuu wangu... Sikupendi weweBabu nini hiyo?
Hataa sikusakami mimiWee binti ww, unanisakama sana..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mjomba xperia yuko chin ya maji..
Kinatuhusu wakina fulan..
Hahaa.. hiz disappointed noise zimejaa africa..
Kuna wabishi hao, furaha yao kwenda kinyume na sheria wako radhi hata waingie gharama ili wavunje sheria.. watu wataweka bullet proof gari zao..
Kuna nchi, mamlaka ya anga ilitoa tangazo kuwa wachaw wanaruka sana nait wanasumbua sijui vyombo vyao sijui nini.. halaf si nchi ya africa.
Mbupu...