Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Mume ndio mwenye maamuzi na si mke. Mbona una uchungu sana?Lakini hajakuomba msaada
Mume ndio mwenye maamuzi na si mke. Mbona una uchungu sana?Lakini hajakuomba msaada
Sitaki umtie vidonda vya tumbo mjukuu wanguMume ndio mwenye maamuzi na si mke. Mbona una uchungu sana?
Mmmhh una yako weweSitaki umtie vidonda vya tumbo mjukuu wangu
Upuuuz tuuKuna pipo ilikuja kuzingua eti sijui uzi umepitwa replies so what?
Kitendo chenu cha kumuignore kimenofurahisha maana mmemnyesha ukomavu !!
Tuna kazi za kufanya bhana ila siyo kushindania vitu vya kipuuzi
Muwe na Usiku Mwema
.........
Bora mmempotezeaUpuuuz tuu
Ndio haki ya mjinga hyo
Tycoon MAKAVELI Jr.
Liver wana kipa Mjerumani wanamkalisha tu benchiLigi si lelemama
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa kaka BitozBora mmempotezea
Mngejibishana nae mngeonekana hamna kazi za kufanya
Bora huo muda hata kuutumia kusafisha gheto
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Ila ujinga wao wa kupigwapigwa red utawagharimu zaidiChaliiiii
Tycoon MAKAVELI Jr.
Sawa dada Tumosa[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa kaka Bitoz