Hahahahaaaa hapana wewe sio mnafkiYaaani C unakubali mimi mnafiki... Sawa bana
Lol! Yaani anko tangu nimwambie tu twende kwenye kisomo basi kishaniona mshirikina kweli, loh! Ngoja nikatete naye nimwambie ni kwa sababu tu ya penzi la ukweli ulilonalo kwake, yaani hadi anajionea wivu, akiwa anaongea na wewe masikio yake yanauonea wivu mdomo. ukianza kula kirungu mpweke ....hivi naandika nini sasa utasema mimi niko feri navua








Ahahhaha shemelaUkimwaga mboga mimi namwaga ugari
Yange yange mzigawe tu binamuIle safari kila mambo yakitengemaa, wanajitokeza watu wananigombanisha na aunt yangu. yaani tumeshaiahirisha hadi viwalo nilivyonunua vinapauka sasa.
Basi sawa.... Umekuwa mtoto mzuri sasaHahahahaaaa hapana wewe sio mnafki
Ila mimi siku zote ni mtoto mzuri😉Basi sawa.... Umekuwa mtoto mzuri sasa
Niko poa kabisa shemela wangu, D na baba yake hawajamboSafi shemela wangu umeamkaje jaman
Duh...haki ya nanii nimesema tayari, na nukta nimeweka
Production ya watotoGoma ukimanishaa nn
Duh aisee...giza ni zuri kwa kifo cha mende. Mende huwa wanakufa gizani kama mlikuwa hamjui
Kigoma mwisho wa reliHa ahahhaahaha
...lazima niwe muoga, unachezea penzi langu na husna muba , nitalilinda kwa gharama zote siataki mambo ya mchezomchezo
Asante shemela, nawe piaBadae jamani muwe na asubuhi njema
Yaaani mpaka huamini vile.... Kama Nakuona.
Asante nawe piaHabari za asubuhi mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Niwatakie wiki yenye baraka
....
Obe ndio kiongozi wao kumbeWazee wa fitna wakiongozwa na binamu obe