Makapuku Forum

Makapuku Forum

...aunt gudu moningi, hivi saa hizi saa ngapi? Mimi bado nimelala sijaamka? Kuna jipya gani humu kwani maana naona ukunguukungu tu.

Mimi na wewe shangazi tunajaliana sana, hatuwezi kusemana kwa ubaya, ukiona nakusema vibaya ujue simu sinayo nimeipeleka chaji
Mmmmmmmh
 
Binamu wewe sio wa kuniandika me kuwa mbaya wako kweliii unakiuka makubaliano tuliyokubaliana nashkuru binamu msalimie mama ashura unapochaji simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom