Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Binamu haujaelewa ujue yaan hiyo safari wewe ndio umenipeleka kwa mganga ujueHa hahaha, kwa mganga kweli tulienda lakini tulifukuzwa kama wezi maana anko alimtongoza mtoto wa mganga hata kabla shida yake hajasikilizwa