Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Sema haki ya naniiii
...haki ya nanii nimesema tayari, na nukta nimeweka
Sema haki ya naniiii
Ha ha ha haHa ahahaahahah, nasubiri watoto wa shululu na Tumosa niwaongeze kwenye list, kwa sasa muweke mzeewakungoa
Ili ugundueee nnSasa hv tutamjua mnafiki nani
Sikutegemeaa kama utamuunga mkonyo binamu
Sasa jeeee...haki ya nanii nimesema tayari, na nukta nimeweka
Kweliii kabisaaa...ndo ujue mfupa hauna ulimi
Fukua tu Obe.... Akimwaga ugali mwaga mboga...oh, kumbe unakumbuka haya mambo bado. Mjomba ujue makubaliano yetu mimi sasa hivi niko na mrembo ninayempenda sana, tafadhari usifukue makaburi.
Mimi nikifukua makaburi yako ya halaiki tusikimbiane humu
Wewe tushakujuaaFukua tu Obe.... Akimwaga ugali mwaga mboga
Kwani kwa huyo mchaji simu ni goma lako tenaNdo tuulizane make nimechukia sana kuona mchaji simu ushaanza kwenda make nakujuaa hunaga mojaaa ...simu najua itazaaa menginee
Mbona kwenye m haujamalizia tena kuna nini jamanHa ha ha ha ha ha ha ha ha binamu njoo uonee mm navonuniwaa hapa tamu nanyimwa wikiii ...
Swty darling kivuruge cha mtima ..nyonga mkalia ini cheupe bonge wangu kama sio m .....nakupendaa na binamu hana nia nzuri na ndoa yetuu
Binamu wewe sio wa kuniandika me kuwa mbaya wako kweliii unakiuka makubaliano tuliyokubaliana nashkuru binamu msalimie mama ashura unapochaji simu
Goma ukimanishaa nnKwani kwa huyo mchaji simu ni goma lako tena
Me sio mtoto mjueUnamjuaa binamu unamsikiaa ....mm kaniambia niandikee ndoo maana nikawa ana wasiwasi ..makapeni inamaanisha wewe sio mbaya ni mtu wa tofauti unayemtakiaa mabaya
Mmmmmmh sitakiiiii....Mbona kwenye m haujamalizia tena kuna nini jaman
Wakina nani hao binamu waliokua wanaandika mambo ya kuukera moyo wangu tenasimu ninaichajia kwa Queen,
aunt niamini kabisa sijaandika lolote la kukutuhumu maana wewe una moyo na tuna makubaliano.
Ila wakati nimelala nikawa kama naota vile watu wanaandika mambo ya kuukera moyo wako, nitawafuatilia niwakanye
Si hao anaowàtaja binamu michepukosGoma ukimanishaa nn
Binamu me nimeshamaliza jaman najua wazuri wangu ni kina nani na wabaya pia maana mpaka baba d kaamua kuwa mbaya wangu
Ndio si ndoo maana wewe ni mama devyMe sio mtoto mjue
Hapana malizia tuMmmmmmh sitakiiiii....