Makapuku Forum

Makapuku Forum

Niambie waendaa kulee kwa juz?? Si ulimalizanaa nao ,?
Kweli nilimalizana nao kilichotokea jana nimeona hawajazilinganisha ni nyingi sana zipo fupi mtu unatoa hela nyingi halaf wanakufanyia vituko nikampigia boss wao usiku nikamwambia sijapenda mbona hivi na hivi akaniambia basi njo kesho turekebishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom