Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Michepuko yakeeSi hao anaowàtaja binamu michepukos
Michepuko yakeeSi hao anaowàtaja binamu michepukos
Kwa wakina mama ashura hakuna umeme ....binamuu anapenda gizaa kweliiii
Hata mkiwa chemba nawasikia mjue.... Huko hataenda habari zangu.. Atakupa habari zake... Ukizubaa tu unakuwa mchepuko wa kumi.... Ha ha ha ha ha
Ni kweli binamu hata me nimeliona ujue...yaani mtu mzuri kwako humu ni mimi tu. Huyo baba D mimi nilikuwa najua tangu siku nyingi ndo maana nikakushauri uniruhusu niende BOT nikaweke tangazo kwenye noti ya buku ten , sasahivi asingekuwa mbaya wako tena
Sasa mbona mnanifanya kama me mtoto lakiniNdio si ndoo maana wewe ni mama devy
Uliniadithiaaa...giza ni zuri kwa kifo cha mende. Mende huwa wanakufa gizani kama mlikuwa hamjui
Nilikua silijui hili...giza ni zuri kwa kifo cha mende. Mende huwa wanakufa gizani kama mlikuwa hamjui
Kumbe muoga
Usiwe kama mwanasihasa kila anaesema ukweli adui yakoWewe upo kwenye list yetuuu
Nan kakufanya hivooSasa mbona mnanifanya kama me mtoto lakini
Nashkuru sana tutaonana badae natokaBaby sikio langu linaumaaa![]()
![]()
Wewe ulivyopewa list ya wababya wa binamu na kuna jina langu kwa nini usinitoe
Huu sasa ubwege
Binamu nimeona ye ndio aliamua kuniandika kwa makapeniNilipompa list jina lako halikuwepo, na majina niliandika kwa kalamu ya risasi
Wewe na binamu yakoNan kakufanya hivoo
Waendaaa wapiiiiNashkuru sana tutaonana badae natoka
Hata me nashangaa ungejua nikiwa nae anakusema sana binamu