Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

2006 - Fidel Castro anamkabidhi Mdogo wake Raul Castro madaraka ya kuwa Kiongozi wa nchi ya Cuba.

Licha ya kuwa ndugu, wote walikuwa kwenye " 26th July Movement " kikundi kilichofanikisha Mapinduzi ya Cuba ya mwaka 1959.
 
43ab7fd7c4853d7fc43320d8a50e9550.jpg



Cc Sakayo
 
Leo katika Historia

2012 - Michael Phelps ambaye ni muogeleaji anavunja rekodi ya kushinda medali nyingi kwenye michuano ya Olimpiki baada ya kushinda jumla ya medali 22 kwa kushiriki michuano mitatu ya Olimpiki ambayo ni ya mwaka 2004, 2008 na 2012.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom