Makapuku Forum

Makapuku Forum

Katika dondoo za bbc

- Zikiwa zimesalia siku 8 tu kabla ya uchaguzi mkuu Kenya, Polisi inamtafuta afisa mkuu katika tume ya uchaguzi nchini.

- Marekani yasikitishwa na hatua ya Urusi kutimua mamia ya wafanyakazi katika ubalozi wake huko Moscow.

- Watu wasita wameuawa katika mlipuko wa bomu Mjini Mogadishu Somalia.

- Burundi imenyimwa fursa ya kuandaa mkutano wa COMESA
Ahsante mdau
Nikutakie siku njema
......
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha binamu njoo uonee mm navonuniwaa hapa tamu nanyimwa wikiii ...

Swty darling kivuruge cha mtima ..nyonga mkalia ini cheupe bonge wangu kama sio m .....nakupendaa na binamu hana nia nzuri na ndoa yetuu

...mjomba wewe unampenda aunt na analijua hilo, usisikilize kabisa maneno ya wazee wa fitna. Mimi nitaongea naye, mimi na wewe ndugu bhana
 
Katika dondoo za bbc

- Zikiwa zimesalia siku 8 tu kabla ya uchaguzi mkuu Kenya, Polisi inamtafuta afisa mkuu katika tume ya uchaguzi nchini.

- Marekani yasikitishwa na hatua ya Urusi kutimua mamia ya wafanyakazi katika ubalozi wake huko Moscow.

- Watu wasita wameuawa katika mlipuko wa bomu Mjini Mogadishu Somalia.

- Burundi imenyimwa fursa ya kuandaa mkutano wa COMESA
Habari za asubuhi mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Niwatakie wiki yenye baraka
....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom