Karibu huku ndo kwetu ....hope utaenjoy ila samahan sijakutambulisha kwa binamu wangu wa faida wa kuitwa obe ...atakachokwambia mwambiee wewe ni wa mond
Mondray Hatimaye umeibua kitu... Tena usiku usiku.Love you too
Hongera sana kwa kuwa na upendo wa dhati kwa girlfriend wakoAnko, umeamka salama naamini. Hata mimi pia. Huyu Curious gal nilitaka kumwambia kuwa mimi niko na mdada ninayemfurahia upeo yaani akiomba tano anapata kumi akiomba moyo nampa roho, akikohoa mimi natema, akiniambia nikachekee chooni mimi nachekea kwenye tundu kabisa. Na akisema ninawe uso mimi naoga kabisa na akisema hapendi jino langu la njano mimi naling'oa kabisa.
Sasa nitamwambia nini yeye kwa mfano
Hi hi hi hi hi hi![]()
![]()
![]()
binamu binamuu ...ebhu kwanza nikitafute hiki kiporo mpasho mpashano ....
Yaaani mpaka huamini vile.... Kama Nakuona.C Is that true?
I have been Searching love
Love you too
Jamani mbona mnamfanyia hivo bae wanguMondray Hatimaye umeibua kitu... Tena usiku usiku.
MorningMorning family
Asanteee
Kwani Imekuwaje tena mpaka mmewekeana namba za ambulance.Anko lee empire nakutakia usingizi mnono. Ukitaka msaada zaidi namba za ambulance nazijua
Bhinamu heshima yako ....Anko, umeamka salama naamini. Hata mimi pia. Huyu Curious gal nilitaka kumwambia kuwa mimi niko na mdada ninayemfurahia upeo yaani akiomba tano anapata kumi akiomba moyo nampa roho, akikohoa mimi natema, akiniambia nikachekee chooni mimi nachekea kwenye tundu kabisa. Na akisema ninawe uso mimi naoga kabisa na akisema hapendi jino langu la njano mimi naling'oa kabisa.
Sasa nitamwambia nini yeye kwa mfano
Wewe si babuuuMondray Hatimaye umeibua kitu... Tena usiku usiku.
Sema ana michepukoo mingiiiHongera sana kwa kuwa na upendo wa dhati kwa girlfriend wako
Alhamdulillah Tumeamka salamaKumekucha swalamaaaaaa. ....Tumshukuru Mwenyezi Mungu
Nikapiganee nitolewee ngeuuu....huyu kwa fundiiiiNdo maana anko ninasema yale mambo ya kupigana hayafai, twende kwa fundi ukafanye yako.
Ila usifanye kama ulimvyomtenda yule msaidizi wa mganga Zuwena pale uliponisindikiza nikatafute dawa ya kupandishwa cheo
Basi huyo hafai kabisaSema ana michepukoo mingiii
Hongera sana kwa kuwa na upendo wa dhati kwa girlfriend wako
Wqnafiki humu wengi ndo maana mm na anko wangu tukatengeneza list ya wabaya wetuu....Jamani mbona mnamfanyia hivo bae wangu