Makapuku Forum

Makapuku Forum

...yaani mwachie tu, mimi nashangaa yaani jina lako katumia makapeni kabisa. Kwa kweli amekukosea sana, mimi siijui hii list. si unajua kwenye list yangu wewe haupo? Jina la kwanza kwa wabaya wangu ni demi
Binamu me nimeshamaliza jaman najua wazuri wangu ni kina nani na wabaya pia maana mpaka baba d kaamua kuwa mbaya wangu
 
Binamu me nimeshamaliza jaman najua wazuri wangu ni kina nani na wabaya pia maana mpaka baba d kaamua kuwa mbaya wangu
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha binamu njoo uonee mm navonuniwaa hapa tamu nanyimwa wikiii ...

Swty darling kivuruge cha mtima ..nyonga mkalia ini cheupe bonge wangu kama sio m .....nakupendaa na binamu hana nia nzuri na ndoa yetuu
 
....yaani unamsifu mtu ambaye anakuwa mwaminifu kwa mtu mmoja tu? Lol, kimaadili timilifu ukiwa mwaminifu kwa mtu mmoja huwezi kuwa mwaminifu.

Kuwa mwaminifu ni lazima uwe mwaminifu kwa wengi..

Serious Note: Haya maneno ya juu sijaandika mimi, msijenipakazia kwa la habibti wangu. simu iko nachaji kwenye kibanda cha mpesa
Kumbe muoga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom