mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Mimi Niko poa tunaongea kinyumbani na mjukuu wangu.Mzima lakini
Mimi Niko poa tunaongea kinyumbani na mjukuu wangu.Mzima lakini
Sasa wewe unaachia ngazi kiulaini namna.. Kazana mtoto wa kiume.
Ila Demi hii avatar yako ni homa ya jiji walahiNaona umeamua kujilipua. My Lee where are you?
Yaani leo ndo nimejibiwa hilo swali, nimeuliza mara kadhaa huwa sijibiwi zaidi ya kuulizwa maswali zaidi.Mkuu..
Huku kuna:
1.Magazeti
2. Nukuu ya leo
3. Story
4.Top Ten
5. Did you know
6. Unbelievable Facts
7. Today in History/ Historia
8. Sports Headlines
9. Tz headlines
10. Live score-ila hii kwa sasa iko likizo..itanza week hii baada ya preseason match kuanza.
11. Kuna Generalised story! Watu wanapiga story na kujuliana hali..
This is Kapuku Forum..
Wala usijali mkuu mi nikianza kuongea kinyumban na dada yangu mama mchungaji huwa shunie hapendi ila leo naona anapiga lugha yake kama yuko kwao tangaMimi Niko poa tunaongea kinyumbani na mjukuu wangu.
Lina swaga sana sasa usiombe mwenye jina hili awe ex wa shemeji akimtaja tu we moyo wote unakulipukaHbd Bebe nimependa jina lake
Mapenzi yanaoteshwa kama.... Ardhi nyingine zina rutuba ukiweka mbegu inamea.... Ardhi nyingine inabidi utafute mbolea.. Umwagilie lakini mmea utaota na matunda utatoa. Ha ha ha ha.Kama hapendwi akazane nini usimdanganye mwenzio penda unapopendwa mwisho wa siku utafanyiwa vituko mpaka ujute
MpotezeeKuna mmoja kashatekwa humu aisee ila umenichekesha sana.."Ngoma ya watoto haikeshi maana hawajui walifanyalo" Wait and see
Oooh sorry. Naona umekasirika. Nilikuwa natania
Unaona eehAnakata tamaa mapema
Nakuona shem waneHapa kama nimeelewa vile!!
.
.
Yule mwenye jina linaloishia na e....sijui nini sijui nini... Ntapata ugonjwa wa mapenzi...sijui nini sijui nini
Kanisifia kwa lipi?Nomaaaaa! Naona lee anakusifia sana
Sawa, kiingilio kikojeLeo hope wapo airport Jk
So??Huu uzi watu wanabana sana LIKES.
Ewaaaaaaaaah
Upogo? Miss uNakuona shem wane
HahahaKukutwa chumbani kwa demu wako
![]()
![]()
![]()
......
Umeponaa??
Mr T touchMwenzangu nilibanwa na Mr T...
Zawadi yako njoo uchukue