Mr Lee upoooooAsantee
Leo katika Historia
1962 - Julio Cesar Chavez. Bondia wa ngumi toka nchini Mexico anazaliwa.
Umeponaa??
Au alikutishia kukunyonga?Nisingewaacha mwakani kesho kutwa tu mpenzi mngeniona ila sakayo akanitisha nisipoingia eti me na yeye basiiii ikabidi tu jana nirudi nawapenda sana
Asante kwa nukuu TranscendNUKUU YA LEO
A friend is someone who gives you total freedom to be yourself
Rafiki ni mtu ambaye anakupa uhuru kamili wa kuishi kama wewe
Haya maneno yaliwakusemwa na mwanamshairi wa kimarekani James Douglas ama jim morrison .
Jim morrison alizaliwa Dec. 8 1943 na kufariki July 3 1943.
Jim morrison alifariki nchini ufaransa kwa kile kinachosemekana kuwa ni Shambulio la Moyo.
Jim alikutwa akiwa amefariki bafuni kwake.
Be a friend! Live your life! Enjoy the short moment you have..
Life is too short..!
![]()
![]()
HaaaaahaaaaSema Suuuuuu nitoke mpaka mwakani
Mkuu ndo lugha gani tena hiiNJOGHOMILE
Sio sawaaa ...Ohoo...sasa mi mke wa mtu halafu unanitongoza mbele ya mume wangu, wakwe zangu na ndugu zangu. Ni sawa kweli?
Asante sana kwa dondoo ankali😎 Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ambae yuko London kwa ajili ya matibabu, amefanya mkutano wake wa kwanza na anaekaimu nafasi hiyo kwa miezi miwili sasa.
😎 Mashindano ya riadha ya dunia ya IAAF kwa vijana wasiozidi umri wa miaka 18 yanaanza hii leo jiji Nairobi Kenya
😎 Nchini Rwanda kuna mradi wa kutengeneza sodo zinazopatikana kwa bei chee ambazo hutengenezwa kwa nyuzi zitokanazo na mabaki ya migomba.
😎 Malaria bado ni changamoto katika nchi nyingi barani Afrika, huko nchini Tanzania kwa mujibu wa wizara ya Afya takribani watu milioni 18 huugua ugonjwa wa malaria kila mwaka. Katika kupambana na ugonjwa huo shirika la Afya la ifakara wamebuni mbinu mpya ikiwemo utengenezaji wa viatu vyenye kinga ya mbu hususani wakati wa mchana.
😎 kuna taarifa ya uwepo wa kampuni moja inayotengeneza viatu vya kwanza vya riadha kubuniwa nchini Kenya..
Barikiwa sana shemeji
Hivi mchungaji mama utaondoa lini hiiLee asante sana kwa Hadithi...inanipa kila aina ya jibu..natamani kuisoma hadi mwisho.
Asante kwa UF,BBC
UBARIKIWE
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Bonge moja la pichaAwarded picture of the year![]()
Dah haya bwana. Mi napenda utani kama nimekukwaza am sorry.