Makapuku Forum

Makapuku Forum

Darasa huru la kapuku .... (DHK)


Mambo mazuri yanapatikana kwetu kuanzia utani , elimu na kila kitu kinachohusu maisha kinapatikana ....wengi wanaingia kupata mambo adimu ili kuwasaidia na sisi kutusaidia ...

Kwa nini tusiwe na kakipengele kama haka ....Darasa huru la kapuku kila mtu kuweza kutushirikisha alichonacho najua wapo wataalam wa sheria , uchumi ,mapenzi, maisha , n.k...mfano mda mzuri wa jioni baada ya kumaliza zile ratiba zetu tunakuwa na kitu kama hiki ....na kuruhusu kuuliza maswali mbalimbali na kusaidiana kujibu ....ila yasiwe maneno make humu na wanasiasa wapo wengi tunahaidiana na kuishia hewani...

Ni wazo wala sio upuuzi wa lee ...

Naweka mfano wa mistar michache soon
Sawa mdau
Labda kila mtu akiwa free kwa siku yake aseme tumpige interview kulingana na maujuzi yake au swaga zake maana humu tunajuana wenyewe
Itakuwa poa iwe Ijumaa,Jumamosi au Jumapili
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom