Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu..

Huku kuna:

1.Magazeti
2. Nukuu ya leo
3. Story
4.Top Ten
5. Did you know
6. Unbelievable Facts
7. Today in History/ Historia
8. Sports Headlines
9. Tz headlines
10. Live score-ila hii kwa sasa iko likizo..itanza week hii baada ya preseason match kuanza.

11. Kuna Generalised story! Watu wanapiga story na kujuliana hali..

This is Kapuku Forum..
Na hata waige hawataweza kuhamisha ubunifu/ujuzi/akili /maarifa za vichwani mwetu .
Humu kuna wasomi wa kueleweka ila watu hawapendi kujionyesha
........
 


Natamani wapate views 1000k per day ile waridhike..

Sisi hivyo vitu tuachane navyo. We have our life..

Nahisi wale jamaa hawana kazi za kufanya.
Cha ajabu wanakuja kuja huku kujambisha ni dalili kwamba hawana malengo wala kujua wafanyalo

Ni aibu mwanaume anaacha nyumba yake anaingia kwa jirani kujishebedua km demu akikaushiwa anajipitisha na khanga za vijembe akijibiwa kustaarabu pia haridhiki

......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom