Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hahahaile avatar kipindi nikiiona kwa mbali tu najua sakayo yule
Natupia ya harusi soon
Hahahaile avatar kipindi nikiiona kwa mbali tu najua sakayo yule
Ahahhh niliamua kujiteka mwenyewe nisiingie jfMie sijambo,n nn hv ulipotea dogo
mshukuruni sakayo tungeonana mwakani ujue
Najua dada jana acha niwe popo mpaka kwenye uzi wa jf usiku wa manane nililala saa 9 nikakumiss tuNakupenda zaidi ujue
Ahahhh niliamua kujiteka mwenyewe nisiingie jfmshukuruni sakayo tungeonana mwakani ujue
usituache bwanaMorning baeMorning wakuu..
Woyooooooooo na shela la njano kama yange yange nijichekee mie hushindwiiiiHahaha
Natupia ya harusi soon
Asante mkuu kwa nukuuNUKUU YA LEO
A friend is someone who gives you total freedom to be yourself
Rafiki ni mtu ambaye anakupa uhuru kamili wa kuishi kama wewe
Haya maneno yaliwakusemwa na mwanamshairi wa kimarekani James Douglas ama jim morrison .
Jim morrison alizaliwa Dec. 8 1943 na kufariki July 3 1943.
Jim morrison alifariki nchini ufaransa kwa kile kinachosemekana kuwa ni Shambulio la Moyo.
Jim alikutwa akiwa amefariki bafuni kwake.
Be a friend! Live your life! Enjoy the short moment you have..
Life is too short..!
![]()
![]()
Nisingewaacha mwakani kesho kutwa tu mpenzi mngeniona ila sakayo akanitisha nisipoingia eti me na yeye basiiii ikabidi tu jana nirudi nawapenda sana![]()
![]()
usituache bwana
HahahaWoyooooooooo na shela la njano kama yange yange nijichekee mie hushindwiiii
Ahahhhh nilitaka kushangaa ujue ile siku haijirudiii kabisaHahaha
Nope... Yanga watanisamehe... Lazima nivae white....
Mie Nililala saa kumi mbona.... Kule kwenye uzi nimetoka wa mwishoNajua dada jana acha niwe popo mpaka kwenye uzi wa jf usiku wa manane nililala saa 9 nikakumiss tu
Acha matishio basiAhahhh niliamua kujiteka mwenyewe nisiingie jfmshukuruni sakayo tungeonana mwakani ujue
Asante mkuu kwa nukuu




usiniulize kwa nini nimecheka sitaki uchocheziHahahausiniulize kwa nini nimecheka sitaki uchochezi
Nani mkuu?Asante mkuu kwa nukuu
Nvitana.... Si ng'we nge niituke mghoshi wako.nkukunda vyediiii kama hivi tulivyo
Mh basi me natoka we haujaingia kabisaMie Nililala saa kumi mbona.... Kule kwenye uzi nimetoka wa mwisho
Umeonaee...Ahahhhh nilitaka kushangaa ujue ile siku haijirudiii kabisa