Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia


1979 - Visiwa vya Kiribati vyapata uhuru wake toka kwa Uingereza.
c83bfd2fc878294a76f4d36bc6a2945f.jpg
a89345e91343b11fa4fd28772eae909f.jpg
60a2988329e99a131513761d672b9502.jpg

Ni visiwa kidogo kwenye bahari ya Oceania
........
 
Itakuwa vizuri sana
Yaani kazaneni kukesha Usiku na mchana muweke heshima mfikishe post Bilioni 1000 na views Trillion 500
Na zawadi ya pesa mtapewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Natamani wapate views 1000k per day ile waridhike..

Sisi hivyo vitu tuachane navyo. We have our life..

Nahisi wale jamaa hawana kazi za kufanya. [emoji3][emoji6][emoji3]
 
Back
Top Bottom