Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Mzima sana kaka hofu kwako tuAsante dada mzima lakin
Mzima sana kaka hofu kwako tuAsante dada mzima lakin
Weee mzeewangoa nawaona mnakula ubuyu na dada yakoNge unsamehe mvyee wa kaya... Lakini ija siku tukidughana... Nge nkughoshoie vit'hu maalum... Yaaani iwe... Nge nkukome kwa mavit'hu ....eka du.
Umbeya kwa wanaume haupendeziteh teh.... Kwa nini hukunda mghoshi yeyoshe humu Jf? Ila huyu mzeewakungoa kaa mbali naye.
Mondray hujambo mvuviBasi bwana naona nalazimisha upendo...Good life with lee
Mkuu..Namaanisha topic ni nini??
Mdau nimefarijika kusikia upo poa
Duh tulikuwa na mashaka siku mbili tatu
.......
Pole ulikua unaumwa niniNiko poa bro Mungu anasaidia nipo vzr,Vp wewe na hali yako lakini..
Mi niko poa dada niko kanda ya kati leoMzima sana kaka hofu kwako tu
Ohoo...sasa mi mke wa mtu halafu unanitongoza mbele ya mume wangu, wakwe zangu na ndugu zangu. Ni sawa kweli?Basi bwana naona nalazimisha upendo...Good life with lee
Wasalimie huko kakaMi niko poa dada niko kanda ya kati leo
Mkuu..
Huku kuna:
1.Magazeti
2. Nukuu ya leo
3. Story
4.Top Ten
5. Did you know
6. Unbelievable Facts
7. Today in History/ Historia
8. Sports Headlines
9. Tz headlines
10. Live score-ila hii kwa sasa iko likizo..itanza week hii baada ya preseason match kuanza.
11. Kuna Generalised story! Watu wanapiga story na kujuliana hali..
This is Kapuku Forum..

Nge nkuitie kaya... .. Kuja mbaramo.... Nzaamua sidaha kukukosa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
imi sikunda
Aiseee...Naona umeamua kujilipua. My Lee where are you?
Mzima wa afya. Niaje mkuu?Demi mzima?
Nitawasalimia dadaWasalimie huko kaka
Mzima wa afya. Niaje mkuu?Demi mzima?