Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kwa nini.... Mwambie namtakaHuwezi kumpata leo
Kwa nini.... Mwambie namtakaHuwezi kumpata leo
Kwamba haina tiba kabisaa...Inapungua kwa muda baadae inarudi tena
SikupendiiSahau kwa leo![]()
![]()
![]()
Ninachofanya ni kuepuka vile vyanzo vya kusababishaDaaaah
Pole saaana, kwa hiyo inapona au inapungua tu
Pole mnoo jamani.. Ko humpata yeyote au huwa mtu anazaliwa nayoNinachofanya ni kuepuka vile vyanzo vya kusababisha
Mfano:
Vumbi
Mapafyumu
Au kazi ngumu
Pole sana ....Ninachofanya ni kuepuka vile vyanzo vya kusababisha
Mfano:
Vumbi
Mapafyumu
Au kazi ngumu
Naweza kuongezea neno ??Pole mnoo jamani.. Ko humpata yeyote au huwa mtu anazaliwa nayo
Mmh..Kiukweli kifo chake kimenigusa na kwa kutambua mchango wake kwenye thread hii leo hakutakuwa na segment ninazopost wadau maana hata akili hazijatulia
Kila nafsi itaonja mauti
..........
Ndio haina tibaaKwamba haina tiba kabisaa...
Pole mnoo my dear
Japokuwa hata mazingira yanachangia hii hali lakini kiukweli ni ugonjwa wa kurithi maana yake its Genetic Disorder....husna amezungumzia namna ya kujikinga vizuri inshort unatakiwa uishi kwenye mazingira ambayo yanaruhusu uwepo wa hewa safii nikimanisha zoezi zima la upumuaji liende vizuri...hewa nzito (chafu) kwa mgonjwa ni shida kwelii....ebu angalia hii picha kwa umakiniPole mnoo jamani.. Ko humpata yeyote au huwa mtu anazaliwa nayo
Kuna ya kurithiPole mnoo jamani.. Ko humpata yeyote au huwa mtu anazaliwa nayo
AsantePole sana ....
Ongezea mkuuNaweza kuongezea neno ??
Yeah ni hivyo hivyo uko sawa Mr LeeJapokuwa hata mazingira yanachangia hii hali lakini kiukweli ni ugonjwa wa kurithi maana yake its Genetic Disorder....husna amezungumzia namna ya kujikinga vizuri inshort unatakiwa uishi kwenye mazingira ambayo yanaruhusu uwepo wa hewa safii nikimanisha zoezi zima la upumuaji liende vizuri...hewa nzito (chafu) kwa mgonjwa ni shida kwelii....ebu angalia hii picha kwa umakini
..![]()
SafiTETESI ZA USAJILI. ..
Alexandre Lacazette amekamilisha vipimo vya afya Emirates na mkataba wake wa miaka mitano wa pauni milioni 52 unatazamiwa kuthibitishwa baadaye leo (BBC, Sky).
![]()
Pep hawezi kukubaliManchester City wamekataa ombi la Newcastle United kumchukua kipa Joe Hart, 30, kwa mkopo (Daily Mail).
![]()
AiseeMshambuliaji wa Monaco Kylian Mbappe, 18, ametoa sharti la kuwa mchezaji anayelipwa zaidi- nyuma tu ya Cristiano Ronaldo- iwapo Real Madrid wanataka kumsajjili (Diario Gol).
HaaayaaaMie siishi kisiwani mkuu