Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
DadakeWanajua dawa sana
DadakeWanajua dawa sana
Sio kweliWahaya wana dawa ya kienyeji inatibu kabisa
Ulikuwa na gens za hii hali tokea mwanzoo ....Mi sijazaliwa nayo mbona
Imenipata ukubwani tu nikiwa nishaolewa na kuzaa
Tupoo hapaa mojaa nungeeWazza asepe tu
Halafu saa 12 ni
Tz v Zambia
......
Mtu ya totoziii mzimaTupoo hapaa mojaa nungee
Sema mibutuoo
Hapana husna mm napenda sana kujijua nikimanisha kumjua mwanadamu na mambo yanayomzunguka ....Asante sana
Kumbe ndio hivyo!
Ila we ni doctor ee?! Naona unaelezea kitaalam zaidi
Nimekuja dada ujue sauti yako lazima nije unaumwa nini jamaan mwenyewe sipo sawa kabisa

KaribuWakuu habari zenu habari za kupambana na maisha
Nimewamis sana
Leo nimekuja niwasalimu
Asante mzee wa peremendeKaribu
Uko poa kabisaa??Asante mzee wa peremende
Mi niko poa mkuu habari ya kulisongesha jukwaaUko poa kabisaa??
Tupo linasongaMi niko poa mkuu habari ya kulisongesha jukwaa
Pole mummy,Mungu atakuponyaMie niko na presha... Halafu kazi kibao ni shida tuuu
Hakuna namna nyingine sasaKweli aisee anaidhalilisha ngwasuma
Pamoja mkuuTupo linasonga
Nilikwambia asubuhi ninavyojisikia bado sijarudi kwenye hali yangu
Pole dada jamaanMie niko na presha... Halafu kazi kibao ni shida tuuu
Pole Dada mungu ni mwema na atakuponyaNilikwambia asubuhi ninavyojisikia bado sijarudi kwenye hali yangu
Ahahhaha kama mimi jamaan siku nikiamua kujipodoa acha tuMara moja kwa mwaka sio mbaya