Mie siishi kisiwani mkuuWasalimie kisiwani
Habari ya mchana wana jukwaa
Nawasilisha tu kuwa nimehama kutoka adidas na sasa niko na nike
Chelsea forever

Demi mke mdogo...Niaje mazee hope mko poa,
Demi jibu hujanipa..
AsanteeMi Niko poa tu
Kaka yangu huyoo demi achana nae kadhaolewa na lee
KaribuuuHabari ya mchana makapuku wenzangu.?nimebanwa na majukumu sijaonekana humu,nimepita kuwajulia hali![]()
![]()
Shunie ,tumosa mko wapiii eti wanasema IBRA kafa jamani uwiiiiiii..........hadi naogopa wallahi mungu wanguuuu weeee

DaaaahNdio ninazotumia mie
Kiukweli kifo chake kimenigusa na kwa kutambua mchango wake kwenye thread hii leo hakutakuwa na segment ninazopost wadau maana hata akili hazijatulia
Kila nafsi itaonja mauti
..........
R.I.P
Huwezi kumpata leoShunie uko wapiii mamy.... Dadako naumwa ujue
Inapungua kwa muda baadae inarudi tenaDaaaah
Pole saaana, kwa hiyo inapona au inapungua tu