Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pia ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuwashirikisha kuhusu uzi huu wengine ni EMYDUY,Sissya, baadhi majina nimewasahau
Japo waanzilishi wakuu ni Bailly,Jimena na mimi.....maana hata kabla ya wao kuja chemba sisi wa3 tulikuwa tayari ni marafiki wa JF

Duh ukiziangalia post zake kule mwanzoni utaelewa
.......
Kifo kinauma jamani... Mungu awatie nguvu wafiwa maana nahisi bado alikuwa kijana mdogo
 
Naona unamuenzi kwa hadithi


Hiyo ulioleza hapo ni hadithi niliisoma nikiwa primary huyo kaka aliitwa "martin na mchumbaake aliitwa "beatrce lugakingila" ndoa yao ilifungwa angani..
Hapana Shemeji. Umechanganya. Mimi nilikuwa namwongelea Arthur Ashe - mcheza tennis mweusi wa Marekani. Nilikuwa najibu comment ya Mama Mchungaji. Ibra hata hapa JF nilikuwa simfahamu! Pole sana kw msiba huo kwani naona umekugusa sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom