Ndio lugha zetu hizowe bitoz wewe et "kavuta"
Hiyo lugha uliyoitumia
Asante sana Baba DKaribuu mama D
Poa kabisa shemela, karibu shemela wanguPoa shemela msalimie sana mke mwee nimewamiss mnooo
When am counting my blessings i double u twice, u such a great gift God gave me. I love u much mumShunie...I Love you,you mean alot to me God Bless you...having a baby is God's Grace and Blessings and you come to know exactly what LOVE means.....I LOVE YOU MY BABY GIRL....GOD LOVES YOU
Mum i pray that God grants us many more years so as we can be together, may our almighty God maintain the peace in our family forever .Marahaba mwanangu za uzima? Umeamkaje? UBARIKIWE,UBARIKIWE,UBARIKIWEMUMMY LOVES YOU SO MUCH..GOD LOVES YOU KNOW...IN OUR FAMILY WE DON'T STRESS WE RELAXIN GOD's HANDS
dumejeuri za wewe jamanMorning makapuku wenzangu nimewamiss mno wakuu!
MUNGU BABA MWENYEZI Asante kutuamsha salama,tutakase kwa damu takatifu ya mwanao,tuongoze,tufufundishe ,tusimamie tupe moyo safi tutende mema,tufanye kazi kwa bidii,tutengeze amani kwa gharama yoyote,tuchukuliane kwa upendo na tuwasamehe wanaotukosea kama wewe unavyotusamehe,tuepushe na hatari zote za mwili na roho.
Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako,mapenzi yako yatimizwe katika jina la Yesu,AmenSIKU NJEMA MBARIKIWE
Soma vizuri maelezo ya Lee
Kweli aisee anaidhalilisha ngwasumaPatcho mwamba umefuliaa unafanya shoo kwa kiingilio cha bia!
Endeleeni kupeana ujingakumbe umeongeza... na hiyo ndio heshima ya kuitwa Mutu ya batoto bazuri bawili bawili
ahahah nimecheka sana kimwendee binamu auMzee Wa matala nisalimie binamu yako ukimuona mwambie naomba kibao chaCeline Dion "I love you"
Ahahhaaha mama mchuchu
Yesahahah nimecheka sana kimwendee binamu au
WARUMI 15
7.Kwahiyo mkaribishane ninyi kwa ninyi ,kama naye Kristo alivyotukaribisha,ili MUNGU atukuzwe.
8.Kwamaana nasema ya kwamba Kristo amefanyika mhudumu wa agano la kutahiriwa kwa ajili ya kweli ya Mungu ,kusudi athibitishe ahadi walizopewa baba zetu.
9.Tena ili mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake,kama ilivyoandikwa,kwa hiyo nitakushukuru kati ya mataifa,nami nitaliimba jina lako .
10.Na tena anena Furahini ,Mataifa pamoja na watu wake.
11.Na tena Enyi Mataifa yote,msifuni BWANA,Enyi wote mhimidini.
12.Na tena Isaya anena,litakuwapo shina la Yese Naye aondokeaye kuwatawala Mataifa,Ndiye Mataifa watakayemtumainia
13.Basi MUNGU wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani,katika kuamini ,mpate kuzidi sana kuwa na tumaini,katika nguvu za Roho Mtakatifu.
MUNGU AWABARIKI MCHANA MWEMA
Uwiiiii we husnaShunie ,tumosa mko wapiii eti wanasema IBRA kafa jamani uwiiiiiii..........hadi naogopa wallahi mungu wanguuuu weeee
Lazima jamaan ibra Mungu amlaze mahali pema peponifuraha nilioamka nayo yote imetoweka mungu saidia isiwe kweli
Sitaki kuaminiiiMamii acha kuna mkaka alikuwa anaposti hadithi naitwa "nitakupata tu" kule entetainment.... Da ngoj ntelezea baadae
Ndio hivyooUwiiiii we husnaibra juzi katuonyesha cheti kifua kimembana jamaan sitaki kuamini ibraMungu wangu
Jamaan kama kuna niliyemkosea tusameheane maisha mafupi sana leo tunacheka kesho hatupo kama umenikosea nimekusamehe ibra sitaki kuamini