BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
This is very very true...
This is very very true...
Asante sanaUpo vzr mamaa hongera ..
Hata hii bendera sasa sitashangaa ikibadilishwa
Yupo vizuri![]()
Alizaliwa Februari 4 1931![]()
Aliongoza Argentina kuanzia mwaka 1974 Julai 1 hadi tarehe 24 March 1976
Amewahi pia kuwa Mama Samia[/I} wa Argentina ila alikuwa na sauti sio km wetu wa bwana mkubwa Sizonje anayepelekeshwa pelekeshwa tu
......
Leo katika historia
29/06/1978 Mwanadada mrembo Nicole Schetzniger anazaliwa. Huyu ni mwanamuziki kutoka nchini Marekani ambae anakubalika kwa vibao vyake mahiri kadha wa kadha.
Mi naukubali wimbo wake unaoitwa Lie about us alioshirikiana na Avante
Ipo siri kubwa kwa wao kuishi maisha marefu ulaji,mazoezi,mawazo chanya,mazingira
Leo katika historia
29/6/2007 kampuni ya Apple yazindua rasmi simu yake ya kwanza ya IPhone.
Napendekeza Bashite apelekwe huko Kibiti yeye si ni kiongozi shupavu kutamfaa
Itakuwa ni jambo jema ili tuondokane na mgao wa umeme
Malinzi simkubali ila naona wapinzani wake wamejipanga kumng'oa kwa mbinu zote
Donald Ngoma - YANGA
Msondo Ngoma - Simba
Haruna Niyonzima - YANGA
Haruna Lipumba - Simba
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nani kanuna?????
Morning how are you?God Bless youMorning family
Na sisi tubadili yetuHata hii bendera sasa sitashangaa ikibadilishwa
Samtaimu staa wa timu kapteni apige penati ya kwanza ili kuinua morali ya timu badala ya kusubiri ya mwisho aonekane shujaakawadakia ureno penalty zote walizopiga.