Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndo maana huyu Mwenyekiti nilimfanyia umafia kwa yule najua anafanya kunikomoaa ...sasa na wewe binamu umempa buku daraa lootee kweliiii...ila mimi huyu mwenyekiti huwa ananishangaza, yaani hakosi visingizio. Ningemwambia umesafiri unajua ambacho angekifanya, vipi angeibuka kwa teller? si angechoma nguru mtaa mzima ujue.
Mimi nikaipokea ila nikampoza na buku jero, so jua kabisa unadaiwa, deni likikaa wiki naanza kuweka riba kama vicoba
Mm sikurudishii utanisameheee ..jifanye umedondoshaa...
Asubuhi njema binamu ...jana nilikuwa na usingiz wa Gb uncountable