[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Na kwako pia Mama [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji263] [emoji263] [emoji263] [emoji263] [emoji263] [emoji264] [emoji264] [emoji264] [emoji262] [emoji262] [emoji262] [emoji262] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Na kwako pia shemelaNawatakieni wote muwe na usiku mwema
Asante kaka...Pole kwa T
Hongera mkuu..Hakuna cha pasu kwa pasu wala nini lazima mpigwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Toka JanaHivi naanzaje kukuchukia lakini dada
AsantePole kwa T
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Toka Jana
Hata kujiuliza huyo dada yupo au keshajinyonga???? Kweli mdogo wangu..
Na mie nisiekunywa jeeAsante kaka...
Ngoja ninywe kabisaaa leo ! Na usingizi umeisha sasa..! Till down
Ujinyonge kwa ajili ganiToka Jana
Hata kujiuliza huyo dada yupo au keshajinyonga???? Kweli mdogo wangu..
Tupo pamoja [emoji109] kamanda [emoji111]Nawe pia mkuu
Kafanyaje embu nijuze mkuu!Goalkeeper wa Chile alichokifanya, Mungu anamuona.
Nawe pia ubarikiweUsiku mwema wana makapuku
Amen ubarikiwe mkuu ShululuAmen, Asante kwa neno la uzima mama mchungaji