Makapuku Forum

Makapuku Forum

Samtaimu staa wa timu kapteni apige penati ya kwanza ili kuinua morali ya timu badala ya kusubiri ya mwisho aonekane shujaa
CR7 Ndo alichokuwa anasubiri matokeo yake kaenda kupiga penati yake # 5 chumbani kwake
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Ana asili ya uoga, mviziaji sasa mwache akaangalie runingani.
 
[emoji524] ZABURI 67

1.MUNGU atufadhili na kutubariki,Na kutuangazia uso wake.

2.Njia yake ijulike duniani,Wokovu wake katikati ya mataifa yote.

3.Watu wakushukuru Ee Mungu,Watu wote na wakushukuru.

4.Mataifa na yashangilie,Naam,waimbe kwa furaha,Maana kwa haki utawahukumu watu.Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.

5.Watu na wakushukuru,Ee Mungu,watu wote na wakushukuru.

6.Nchi imetoa mazao yake MUNGU ,Mungu wetu ametubariki.

7.MUNGU ametubariki sisi ;Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.

MUWE NA SIKU NJEMA,TUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO...MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
 
Amen
 
Leo katika historia itawajia hivi punde tu....
Ambayo basi leo hii tarehe 29/6/2017 italetwa kwenu nami Jimena Jimenes
Lakini kwanza tupate maneno kutoka kwa wadhamini wetu
171ae3012d90bb28b1f086f9e2d2ee15.jpg

Kinywaji asilia kutoka kule kaskazini..... Karibuni sana
 
Mimi ntakuwa mshamba zaidi ya wote humu ndani.hv mnakuwa na uhakika gani kama hawa mnaowaita wanawake n wanawake kweli..!!!?maana hz fake ID mh mh mh.labda kama mliwahi kukutana private jaman.msije mkawa mnasema yule wangu na huyu wangu kumbu "NYOTE NI MIDUME".teh teh teh
 
Isomeke "kumbe" badala ya kumbu
 
Back
Top Bottom