Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika historia

29/6/1946 Ernesto Perez Balladares ambae alikua ni Rais wa 33 wa Panama alizaliwa
0eb4fb5bc7f7d4561542485c1a53e146.jpg
ceea264c3e40c81f8524885961422932.jpg
Aligombea urais kupotia Democratic Revolutionary Party{PRD)
Alitawala kuanzia mwaka 1994 hadi 1995
...
 
Leo katika historia

29/6/1974 Mwanamama Isabel Peron anaapishwa kuwa Rais wa Argentina
Huyu ndio alikuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini humo
f1c8802e2a54c123c19f0b59e59a23ce.jpg
925381ab7c821afce131c9a74710d322.jpg
2511dc011a48847a8696c4a433360f09.jpg
Alizaliwa Februari 4 1931
Aliongoza Argentina kuanzia mwaka 1974 Julai 1 hadi tarehe 24 March 1976
Amewahi pia kuwa Mama Samia wa Argentina ila alikuwa na sauti sio km wetu wa bwana mkubwa Sizonje anayepelekeshwa pelekeshwa tu
......
 
Back
Top Bottom