Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Njema kabisa ankali nipo hapa nimeianza wikiend kwa utulivu mkubwa kabisa...Ankali za asubuhi
Njema kabisa ankali nipo hapa nimeianza wikiend kwa utulivu mkubwa kabisa...Ankali za asubuhi
Asante ankali JJ kwa historiaLeo katika historia siku ya leo ya tarehe 29/06/2017 haina la ziada...
Kwa niaba ya mwenyekiti Mussolin5 niite Jimena Jimenes
Asante sana wadhamini wetu ambao ni kinywaji cha mbege asanteni sana wote mlionisoma na kwaherini kutoka katika meza ya historia asubuhi ya leo
Ciao!!!
Karibu sana ankali akeAsante aunt kwa historia mujarabuu
Nalalaga weekend tuWw hulali..
-Mond-
May god bless you too Sakayo.
Ndio nataka niushushe sasaMorning kidogo nishushe mzigo
Wenye hela zao kwa wakati uleHii kitu watu walikesha wamejipanga foleni kusubiria maduka yafunguliwe kipindi kile wanaileta kwenye mauzo simu amabayo ni sreen touch
Yeeeeeeeaaaaaaah mtoko wako uleee ambao ba ndogooo alikuandikia barua kwa mara ya kwanzaaKiwikiend zaidi ama nini....
KaribuuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Maisha ni sasa ankali... Wenye hela huwa wanaianza toka jumatano Ila akina sie ndio tunajaribu leoAunt week tumeianza jana ushaifikiria weekend
Hahahahaha ngoja nijiangalie kwanza kwenye kopo kisha ntarudiMrembo kuliko wewe?![]()
![]()