AmeeenMay god bless you too Sakayo.
Shululu Unalala sanaaa bhana...TUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Malinziii kapatikanaaa
Kwenye hivi vikao sasa hivi wawe wanaenda wakiwa wameshakula na wameshiba
Ila aunt wewe niii shidaaaa ingineeeeeee ....ulimpagawishaa kinomaaaaaHahahahahaha ni shiiiida. Nimeshafuta hadi skuna zangu ntakazovaa leo
Hapo ndio unapokosea. Ishi leo. Mambo ya kesho achana nayo...... Who knows kama kesho tutakiwepo?? (ILA TUTAKUWEPO)Uko vizuriii aunt mm namsubiria binamu obe apate ujira kesho tufungue vizibo
Umenenaa ila si unajua at tme tunaishii kwa matumainiHapo ndio unapokosea. Ishi leo. Mambo ya kesho achana nayo...... Who knows kama kesho tutakiwepo?? (ILA TUTAKUWEPO)
Mlatino huyo!! Mi nawaelewa sana raia wa nchi hizoHappy birthday Èver maximiliano David Banega
Asante mme mweeeeh ...View attachment 532368Kwa udhamini mnono wa mzee wa peremende
Siku njema
Nzuri dingimtoto za pande hizoHabar za asubuh wandugu
Kibiti kunini huko hasa?? Mbona roho zinachukuliwa kama Iraq!?!?
MuuheeendiiiisamuuuMlatino huyo!! Mi nawaelewa sana raia wa nchi hizo
Donald Ngoma - YANGA
Kwema huko kamanda leeNzuriii mkuuu