dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Habar za asubuh wandugu
My pleasureAsante ankali JJ kwa historia
Uko vizuriii aunt mm namsubiria binamu obe apate ujira kesho tufungue viziboMaisha ni sasa ankali... Wenye hela huwa wanaianza toka jumatano Ila akina sie ndio tunajaribu leo
Happy birthday Èver maximiliano David BanegaLeo katika historia
29/06/1988
Éver Banega mchezaji kiungo wa timu ya Valencia ambae pia alikua akiichezea timu ya taifa ya Argentina anazaliwa
Nayasubiri shululuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Nzuriii mkuuuHabar za asubuh wandugu
Hahahahahaha ni shiiiida. Nimeshafuta hadi skuna zangu ntakazovaa leoYeeeeeeeaaaaaaah mtoko wako uleee ambao ba ndogooo alikuandikia barua kwa mara ya kwanzaa