BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
safi kwa ubunifu na kusaidia wengine
safi kwa ubunifu na kusaidia wengine
Kwelii kabisaMipango ya Mungu sio ya mwanadamu....anakupa apendavyo kwa wakati wake...namfahamu dada alifiwa na mumw miaka ya themanini akamwachia mtoto mmoja wa kiume...2012 mtoto akiwa form four akafariki ghafla.....tukamzika....2014 mwishoni dada yule alipata mume mngine...2016...amepata watoto watatu wakike wawili wakiume mmoja ..huyo ni Mungu asiyeshindwa.tumshukuru kwa kila jambo
Mama DNa kwako pia T
Ila sasa wanauza na kuuza
Niko poa kabisa. Habari ya asubuhiTusikate tamaaa
Uko poa aunt ??
Nzuri namshukuru Mungu hofu kwako tu auntNiko poa kabisa. Habari ya asubuhi