Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Mkuu watu wanafahamiana nje ya jfIsomeke "kumbe" badala ya kumbu
Mkuu watu wanafahamiana nje ya jfIsomeke "kumbe" badala ya kumbu
ReallyYou are missed..
[emoji257]Really
Mdau humu tupo/wapo wanaofahamiana kabisaMimi ntakuwa mshamba zaidi ya wote humu ndani.hv mnakuwa na uhakika gani kama hawa mnaowaita wanawake n wanawake kweli..!!!?maana hz fake ID mh mh mh.labda kama mliwahi kukutana private jaman.msije mkawa mnasema yule wangu na huyu wangu kumbu "NYOTE NI MIDUME".teh teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdau humu tupo/wapo wanaofahamiana kabisa wengine wanajuana hadi vikojoleo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivyo humu ondoa shaka hakuna majikesume labda tu wanaokuja mara mojamoja
.......
Corrections..2016Mdau humu tupo/wapo wanaofahamiana kabisa wengine wanajuana hadi vikojoleo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivyo humu ondoa shaka hakuna majikesume labda tu wanaokuja mara mojamoja
Kumbuka thread hii ilianza mwaka 2015
.......
Nimemwambia sababu ana mashaka na jinsia za watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bitoz wewe!
Eti vikojo...
Sahihi sanaNimemwambia sababu ana mashaka na jinsia za watu
Hajui kama wadada wa humu ni wadada/wamama kweli Hivyo hawana maigizo ya jinsia
Mtu tumechat hapa kwa miaka miwili kama mtu anaingiza/zuga si tungeshamjua
.....
Kaka[emoji257]
MmmmhMdau humu tupo/wapo wanaofahamiana kabisa wengine wanajuana hadi vikojoleo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivyo humu ondoa shaka hakuna majikesume labda tu wanaokuja mara mojamoja
Kumbuka thread hii ilianza mwaka 2015
.......
Corrections..2016
DadanguKaka
Sa Unashangaa nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bitoz wewe!
Eti vikojo...
Mafanikio makubwa, nyuzi nyingi zilianza kwa mbwembwe na zimededi, kf inadunda tuNi kweli hivyo mwaka mmoja siyo haba![]()
...
Ni venye nakupenda tuuDadangu
Na wewe pia?Sa Unashangaa nini
[emoji255]Ni venye nakupenda tuu
[emoji3][emoji3]Sa Unashangaa nini
Aibu naona mieeeNa wewe pia?