Makapuku Forum

Makapuku Forum

ZABURI 5

3.BWANA, Asubuhi utaisikia sauti yangu. Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.

Baba asante kutuamsha salama tunaomba toba kwa makosa yote tunayofanya kwa mawazo maneno na matendo tunaomba uturehemu,tunajikabidhibkwako jumamosi ya leo tuponye,tuongoze ,tutunze,tufariji sawa na mapenzi yako .Linda wasafiri tuokoe katika hatari zote za mwili na roho tunaomba yote kupitia mwanao Yesu Kristo Amen

SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE
 
1944 - Iceland inajipatia Uhuru wake toka kwa Denmark na kuwa Jamhuri.
6edcc822da39c0893b82addd046cd120.jpg
5795e76f450a160dd9b5cdd3ddaed0e7.jpg

Ni kanchi/kisiwa flani hivi kadogo kama tundu la sindano
cf38a3e6d4283dc481e5a3d4ab12116e.jpg

Timu yao ya soka ilijipatia umaarufu mkubwa kwenye EURO '16 baada ya kusumbua vigogo ikiwepo kuitupa nje England na kufika robo Fainali
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom