Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Kama okwi kaja kweli msimu ujao Tunakiwasha dadek
Kama okwi kaja kweli msimu ujao Tunakiwasha dadek
HahahaNimeombaaa wa kwanzaaa aiseeeh tusiingilianee
Ajibu hawez kwenda Yanga
Nipo mamaUbarikiwe Nyagei upo?
Salama kabisa mamaMarahaba za uzima
Shukran shululuView attachment 525394Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Mndali, nawatakieni siku njema
Asante mkuu Shululu kwa magazeti asante mkuu Mndali kwa udhamini mbarikiweView attachment 525394Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Mndali, nawatakieni siku njema
Vizuri sanaTumeamka salama mkuu!
4x per weekSitowezaa uongo dhambii
Na yule mzee alikuwa mchawi?Huyu ni mchawi ndio maana nikamuacha
tayari kashatua YangaAjibu hawez kwenda Yanga
Kwako pia Bangi NyeusiSiku njema makapuku
Sawa mamaAnaumwa ujue nimemuomba tukamuone naomba twende wote
Sawa mkuuWeee ngojaaa
Perisic aje tutengeneze magoli ya kuchebaMichezo burudani na udaku View attachment 525382
Amekua mkubwa sana kwa mara ya kwanza nilimuona live alipodondoka kanisani kwa mama Lwakatare mlima wa moto acha kabisa sasa tuendelee kuomba ninachofahamu mtu akizoea kula nyama za watu kuacha ni kwa maombi mazito
Ngoja wavute mpunga ila sisi tunataka wacheze mpira japo ndo hivo mpira wetu kanjanjaa kibaoUsajili wa Okwi ni upuuzi km usajili wa Ngassa Yanga
Okwi & Ngassa wa sasa hawana tofauti na Side Mnyamwezi wa timu yangu ya kitaa Mabibo labda majina tu
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
..........